Easter Flavian

Actress movie

Easter Flavian (alizaliwa mwaka 1996) ni mwigizaji wa filamu za Kitanzania.[1] Alijiungaga katika tasnia ya urembo katika kitongoji kimoja mjini Tanga, mwaka 2009 akianzia mashindano ya urembo, alishika nafasi ya pili katika mashindano hayo. Alianzaza kushiriki filamu mwaka 2008.[2]

Easter Flavian
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwigizaji

Ushiriki

hariri

Mwanadada huyu ambaye mwaka 2009 alishiriki masuala ya urembo katika ngazi ya kitongoji mjini Tanga na kushika nafasi ya pili na baadaye Miss Dar Indian Ocean, kwa sasa aMejiingiza katika tasnia ya filamu za Kitanzania.[3]

Filamu alizoshiriki

hariri
  • 1. Fake pregnant[4]
  • 2. Zawadi ya Operation[5]
  • 3. Miss Zinduna[6]
  • 4. No way Out[7]
  • 5. Ant Suzi[8]
  • 6. Big Brother[9]*

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-07. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-07. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-07. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-07. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  5. rhttp://www.bongocinema.com/casts/view/easter-flavianef
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-07. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  7. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-07. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  8. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-07. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  9. refhttp://www.bongocinema.com/casts/view/easter-flavian
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Easter Flavian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.