Eddy Besong, anafahimika kwa jina la Eddy Bee akiwa jukwaani, ni mwanamuziki wa Afrobeat na RNB' wa Kameruni.[1] Amekuwa kwenye muziki tokea mwaka 2009, akiachia kandamseto mwaka 2020 kama sehemu ya kikundi cha Avinu C akiwa na Naomi Achu na H Bolo. Eddy Bee aliachia albamu yake ya kwanza iitwayo The Eddy Bee Show Novemba 2018.


Diskografia hariri

Marejeo hariri

  1. "237showbiz.com". 
  2. "youtube". 
  3. "cdbaby.com". 
  4. "youtube". 
  5. "auletch.com". 
  6. "youtube". 
  7. "bamendaonline.net". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-08. Iliwekwa mnamo 2022-04-23. 
  8. "africanmuzikmag.com". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-25. Iliwekwa mnamo 2022-04-23. 
  9. "dailymotion.com".