Edfu
Jiji la Misri, lililopo magharibi mwa ukanda wa mto Nile
Edfu (Misri ya Kale: bḥdt, Kiarabu: إدفو hutamkwa [ˈʔedfu], Kikoptiki: Ⲧⲃⲱ vars. Ⲁⲧⲃⲱ, Ⲧⲃⲟ (Sahidic); Ⲑⲃⲱ); ukingo wa magharibi wa Mto Nile kati ya Esna na Aswan, wenye wakazi takriban elfu sitini. Edfu ni eneo la Hekalu la Ptolemaic la Horus na makazi ya kale, Tell Edfu. Takriban kilomita 5 (3.1 mi) kusini mwa Edfu ni mabaki ya piramidi za kale.[1]
Picha
hariri-
Kijiji cha Edfu, kama inavyoonekana kutoka kwenye nguzo ya Hekalu la Edfu
-
Edfu, mji wa zamani
Marejeo
hariri- ↑ "History of PCMA research in Egypt". pcma.uw.edu.pl. Iliwekwa mnamo 2020-07-07.