Edmond Fischer (amezaliwa 6 Aprili, 1920) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Tangu 1950 aliishi nchini Marekani. Hasa alichunguza protini na kazi yake ndani ya seli. Mwaka wa 1992, pamoja na Edwin Krebs, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Edmond Fischer
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edmond Fischer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.