Edmund James Hull (alizaliwa 1949) ni mwanadiplomasia wa Marekani. Alikuwa Balozi wa Marekani nchini Yemen kuanzia 2001 hadi 2004, chini ya rais George W. Bush.

Marejeo hariri