Edna Ferber (15 Agosti 188516 Aprili 1968) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1925, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake So Big.

Edna Ferber, takriban 1904
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edna Ferber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.