Edson Álvarez (alizaliwa 24 Oktoba 1997) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Mexico. Hasa ni kiungo mshambuliaji, pia anaweza kucheza kama beki au kama kiungo mkabaji.

Edson Álvarez
Mexico na Korea kusini kwenye kombe la dunia 2018-06-23

kazi ya kimataifa hariri

Álvarez aliitwa kwa ajili ya kambi ya timu ya soka ya chini ya miaka 20 ya Mexico katika michuano ya mwaka 2017 ya CONCACAF chini ya miaka 20 kwenye Kombe la Dunia la 2017 la FIFA chini ya miaka 20.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edson Álvarez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.