Eduard Buchner
Eduard Buchner (20 Mei 1860 – 13 Agosti 1917) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza kimeng'enya cha hamira. Mwaka wa 1907 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eduard Buchner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |