1860
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| ►
◄◄ |
◄ |
1856 |
1857 |
1858 |
1859 |
1860
| 1861
| 1862
| 1863
| 1864
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1860 BK (Baada ya Kristo).
Matukio Edit
Waliozaliwa Edit
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 25 Januari - Charles Curtis, Kaimu Rais wa Marekani
- 29 Januari - Anton Chekhov, mwandishi Mrusi
- 13 Machi - Hugo Wolf, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 20 Mei - Eduard Buchner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907)
- 21 Mei - Willem Einthoven (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1924)
- 7 Julai - Gustav Mahler, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 6 Septemba - Jane Addams (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931)
- 13 Septemba - John J. Pershing, jenerali kutoka Marekani
- 23 Novemba - Karl Hjalmar Branting, mwanasiasa Mswidi na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 15 Desemba - Niels Ryberg Finsen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1903)
Waliofariki Edit
- 23 Juni - Mtakatifu Yosefu Cafasso, padri nchini Italia
- 31 Julai - Mtakatifu Justino de Jacobis, askofu Mkatoliki kutoka Italia mmisionari nchini Ethiopia
- 21 Septemba - Arthur Schopenhauer, mwanafalsafa wa Ujerumani