Edward Lewis
Edward Lewis (20 Mei, 1918 – 21 Julai, 2004) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza jeni za nzi. Mwaka wa 1995, pamoja na Christiane Nüsslein-Volhard na Eric Wieschaus, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Lewis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |