Edward Paul Jones (amezaliwa 5 Oktoba 1950) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2004, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Known World.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward P. Jones kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.