5 Oktoba
tarehe
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Oktoba ni siku ya 278 ya mwaka (ya 279 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 87.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1829 - Chester Arthur, Rais wa Marekani (1881-1885)
- 1879 - Peyton Rous, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 1919 - Donald Pleasence, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1950 - Edward P. Jones, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1880 - Jacques Offenbach, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1938 - Mtakatifu Faustina Kowalska, bikira kutoka Polandi
- 1976 - Lars Onsager, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1968
- 2004 - Maurice Wilkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 2011 - Steve Jobs, mvumbuzi na mfanyabiashara kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Maria Faustina Kowalska, Wafiadini wa Trier, Karitina, Mamlacha, Apolinari wa Valence, Plasido, Jeromu wa Nevers, Meinolfi, Froilano, Atilano, Flora wa Cahors, Ana Schaeffer, Trankwilino Ubiarco n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 9 Novemba 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |