Egidio Caporello
Egidio Caporello (8 Juni 1931 – 18 Julai 2022) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Caporello alipewa daraja ya upadre mwaka 1955. Alihudumu katika Baraza la Kipapa la Roma kuanzia mwaka 1982 hadi 1986 na akateuliwa kuwa Askofu wa jimbojina la Caprulae.
Baadaye, alihudumu kama Askofu wa Jimbo la Mantova, Italia, kuanzia mwaka 1986 hadi alipostaafu mwaka 2007.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "S. Ecc. Mons. Caporello Egidio". Diocese of Mantua. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Bishop Egidio Caporello †". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |