Ehud (kwa Kiebrania אֵהוּד בֶּן־גֵּרָא, Ehud ben‑Gera, ʾĒhûḏ ben‑Gērā) alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia[1].

Ehud akiua Eglon.

Kadiri ya Waamuzi 3:12-28 alikuwa wa kabila la Benyamini akatumwa na Mungu kukomboa Israeli kutoka mikono ya Wamoabu.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ehud kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.