Uhandisi wa umeme

(Elekezwa kutoka Electrical engineering)

Uhandisi wa umeme ni taaluma ya uhandisi inayohusika na utafiti, muundo na utumiaji wa vifaa, na mifumo inayotumia umeme na sumaku.

Umspannwerk-Pulverdingen 380kV

Iliibuka kama kazi inayotambulika mwishoni mwa karne ya 19 baada ya biashara ya telegraph ya umeme, simu na uzalishaji wa nguvu za umeme, usambazaji na matumizi.

Marejeo

hariri