Elias Maguri (alizaliwa 29 Agosti 1991) ni mwanasoka wa Tanzania anayechezea timu ya Platinamu FC.[1] Hapo awali alichezea timu ya taifa ya soka ya Tanzania.[2][3]

Magoli ya kimataifa hariri

Namba Tarehe Uwanja Mpinzani Alama Matokeo Mashindano
1. 14 Novemba 2015 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Tanzania   Algeria 1–0 2–2 2018 FIFA World Cup qualification
2. 22 Novemba 2015 Uwanja wa michezo wa Addis Ababa, Addis Ababa, Ethiopia   Somalia 2–0 4–0 2015 CECAFA Cup
3. 3–0
4. 29 Mei 2016 Uwanja wa kimataifa wa michezo wa Moi, Nairobi, Kenya   Kenya 1–0 1–1 Mchezo wa Kirafiki
5. 2 Julai 2017 Uwanja wa michezo wa Royal Bafokeng, Phokeng, Afrika Kusini   Afrika Kusini 1–0 1–0 Kombe la COSAFA 2017
6. 12 Novemba 2017 Uwanja wa michezo wa l'Amitié, Cotonou, Benin   Benin 1–1 1–1 Mchezo wa Kirafiki


Marejeo hariri

  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Elias Maguri (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-29. 
  2. "Elias Maguri - Player profile". www.transfermarkt.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-29. 
  3. "Elias Maguri". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-29. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elias Maguri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.