Elieshi Lema

Memsahib Elieshi Lema (amezaliwa Nronga, 1949) ni mwandishi wa lugha za Kiingereza na Kiswahili kutoka Tanzania.[1]

Elieshi Lema, 2010

Lema alianza kama muandishi na mtunzi wa mashairi] na baadaye kuwa muandishi wa vitabu vya watoto katika lugha ya Kiswahili kabla ya kuandika riwaya yake ya kwanza ya Parched Earth katika Kiingereza mwaka 2001. Kitabu hicho kimetafsiriwa katika lugha ya Kiswidi na Kifaransa

Lema ni mmiliki wa kampuni ya uchapishaji ya House E&D Vision Publishing[2], lakini pia ni muendeshaji wa book café. E&D Vision Publishing imekuwa ikichapisha vitabu vya watoto katika lugha za Kiswahili na Kiingereza. Mwaka 1998 Ilichapisha kitabu kuhusu mjusi wa Tendaguru.

TuzoEdit

  • Noma , 2001 - Parched Earth (kutaja)

MachapishoEdit

  • "Safari ya Prospa", 1995
  • "Mwendo", 1998
  • "Parched Earth", 2001

MarejeoEdit

  1. http://sanaa-central.spla.pro/en/file.person.elieshi-lema.37070.html#
  2. E&D Vision – E&D Vision Publishing (en-US).
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elieshi Lema kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.