Elihu Root (15 Februari 18457 Februari 1937) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa mwanachama wa Chama cha Jamhuri cha Marekani. Kutoka 1905 hadi 1909 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani. Mwaka wa 1912 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Elihu Root (1902)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elihu Root kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.