Elizabeth Bishop

Elizabeth Craig Bishop (8 Februari 19116 Oktoba 1979) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1956 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Elizabeth Bishop, 1934

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Bishop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.