Elizabeth Gupta

Mwanamke kutoka Tanzania

Elizabeth Gupta ni mwanamke Mtanzania aliyewahi kushiriki mashindano ya Big Brother Africa mwaka 2009.[1]

Elizabeth Gupta
AmezaliwaElizabeth Gupta
UtaifaMtanzania
Kazi yakemtangazaji

Maisha Yake hariri

Tarehe 26 Februari 2011 aliolewa na mshiriki mwenzake Kevin Chuwang[2]

Marejeo hariri

  1. https://www.tvsa.co.za/actors/viewactor.aspx?actorid=10620
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-12. Iliwekwa mnamo 2018-12-01. 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Gupta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.