Elizabeth Swai

mjasiriamali


Elizabeth Swai (alizaliwa tar.) ni mwanamke mjasiriamali aliyepitia changamoto nyingi katika mafanikio yake.

Elizabeth Swai
Kazi yake Mjasiriamali



Mafanikio

hariri

Alianza maisha ya kujitegemea akiwa na umri mdogo. [1]

Akiwa na umri wa miaka 18, Elizabeth aliajiriwa na shirika la UNHCR hadi mnamo mwaka 2003. Baada ya kuacha kazi hiyo, Elizabeth alifanya utafiti wa kina kuhusiana na mambo ya ufugaji. Kisha kuridhishwa na utafiti wake aliweza kupata wadhamini wawili wa kumwezesha kuanzisha kampuni yake ya AKM Gilters, iliyoanzishwa mnamo mwaka 2006.

Ana mtoto mmoja wa kike.

Marejeo

hariri