Ellen Coleman (mchezaji)

Ellen Coleman (alizaliwa 11 Desemba 1995) ni mwanasoka wa Ghana ambaye anacheza kama beki wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana.

Kazi hariri

Coleman amewahi kuichezea timu ya Lady Strikers ya Ghana.Coleman alikuwa kwenye kikosi cha Ghana kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2018 lakini hakuonekana kwenye mechi yoyote.[1]

Marejeo hariri

  1. E. Coleman. Perform Group. Iliwekwa mnamo 16 June 2019.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellen Coleman (mchezaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.