Ellesse Andrews (alizaliwa 31 Desemba 1999) ni mshiriki wa mchezo wa mbio za baiskeli kutoka nchini New Zealand. Alishindana katika Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto 2020, na kushinda medali ya fedha kwa upande wa wanawake.[1]

Mashindano ya Dunia ya Kuendesha Baiskeli ya 2020 - Keirin ya Wanawake - Fainali

Aliiwakilisha nchi yake katika michezo ya jumuia ya madola ya 2018 na Olimpiki ya majira ya joto 2020[2],na kunyakua medali ya fedha huko kierin.[3]

Marejeo hariri

  1. Ellesse ANDREWS. Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  2. Cycling Track | Athlete Profile: Ellesse ANDREWS - Gold Coast 2018 Commonwealth Games. results.gc2018.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-12-03. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  3. 'I can't stop crying': Cyclist Ellesse Andrews in shock after winning silver medal (en). Stuff (2021-08-05). Iliwekwa mnamo 2021-12-03.