Ellie Goulding
Mwanamuziki wa Uingereza
Elena Jane Goulding (alizaliwa 30 Disemba 1986) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo nchini Uingereza.
Ellie Goulding | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Elena Jane Goulding |
Amezaliwa | 30 Desemba 1986 |
Aina ya muziki | Pop |
Kazi yake | Mwimbaji, mwanamuziki |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 2009-hadi leo |
Studio | Interscope Records |
Tovuti | elliegoulding.com |
Kazi
haririAlianza kazi alipokutana na watayarishaji wa muziki Starsmith na Frankmusik, na baadae akaonekana na Jamie Lillywhite, ambae baadae akawa meneja wake.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "The BRIT Awards 2013". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Februari 2013. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ellie Goulding kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |