30 Desemba

tarehe
Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 30 Desemba ni siku ya 364 ya mwaka (ya 365 katika miaka mirefu). Mpaka uishe inabaki siku 1.

Matukio Edit

Waliozaliwa Edit

Waliofariki Edit

Sikukuu Edit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Felix I, Hermes wa Vidin, Anisi wa Thesalonike, Perpetui wa Tours, Jeremari wa Fly, Egwini wa Evesham, Ranieri wa Forcona n.k.

Viungo vya nje Edit

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 30 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.