Elvira Herzog
Elvira Herzog (alizaliwa 5 Machi 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Uswisi ambaye anacheza kama golikipa wa timu ya wanawake ya FC Köln na timu ya taifa ya wanawake ya Uswisi.[1]
Kazi
haririAlicheza mechi yake ya kwanza na timu yake ya taifa ya Uswisi mnamo 14 Juni 2019 dhidi ya Serbia, akiwa kama mbadala wa golikipa Nadja Furrer .[2][3][4]
Marejeo
hariri- ↑ "Elvira Herzog". World Football. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Elvira Herzog". Playmaker Stats. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Serbia vs Switzerland". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Elvira Herzog". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 9 Machi 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elvira Herzog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |