Emilio Bottiglieri
Emilio "Mel" Bottiglieri (alizaliwa Aprili 13, 1979 huko Port Hardy) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kanada. Alicheza kwa miaka saba katika ligi ya Scottish Football kama beki wa upande wa kushoto. Ana asili ya Kiitaliano.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Metro Ford 3:0 Croatia SC", croatiasc.bc.ca, 16 January 2010. Retrieved on 17 May 2010. Archived from the original on 2011-07-06.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emilio Bottiglieri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |