Emmanuel Adamson Mwakasaka

Emmanuel Adamson Mwakasaka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tabora Mjini kwa miaka 20152020. [1] Pia ni mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge. Amehitimu shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017