Emmanuel John Nchimbi

'

Emmanuel John Nchimbi
Amezaliwa24 Desemba 1971
Emmanuel Nchimbi, 2017.
Kazi yakeBalozi wa tanzania nchini Brazili


Emmanuel John Nchimbi (amezaliwa 24 Desemba 1971) ni Balozi wa Tanzania nchini Brazil. Kabla ya kuwa balozi, Emmanuel John Nchimbi, alipata kuwa mbunge wa jimbo la Songea Mjini katika bunge la kitaifa nchini kwa miaka kumi Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Mnamo tarehe 15 Januari 2024 aliteuliwa na Halmashauri kuu ya CCM kuwa katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi. [2]


Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Emmanuel John Nchimbi". 10 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-24. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 
  2. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/dk-nchimbi-amrithi-chongolo-ccm-4492338