Emotions ni albamu ya pili kutoka kwa mwimbaji wa nchini Marekani, Mariah Carey. Albamu hii ilitoka nchini Marekani tarehe 17 mwezi septemba 1991, kupita katika studion za Columbia Record. Albamu hii imejumuisha nyimbo mbalimbali zilizoandikwa na Mariah mwenyewe pamoja na watunzi wengine wa nyimbo kama vile Walter Afanasieff, Clivillés & Cole (of C+C Music Factory), na Carole King. Wimbo unaobeba jina la albamu hii, ulikuwa wimbo wa tano kutoka kwa Maria kuweza kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Billboard 100. Hii iilimfanya Mariah kuwa mwanamuziki wa kwanza kuweza kupata mafanikio katika kiwango hiki.

Emotions
Emotions Cover
{{{Type}}} ya Mariah Carey
Aina Pop, R&B, dance-pop
Urefu 47:01
Mtayarishaji Walter Afanasieff, David Cole, Robert Clivillés, & Mariah Carey
Wendo wa albamu za Mariah Carey
Mariah Carey
(1990)
Emotions
(1991)
Music Box
(1993)


Albamu hii pia iliweza kutoa single tatu bora ambazo ni Can't Let Go na wimbo wa Make It Happen. Katika albamu hii, Mariah ameweza kuandika na kuwa mtayarishaji msaidizi wa nyimbo zote kumi katika albamu hii, ikiwa ni pamoja na kutunga mashairi ya nyimbo zote kumi. Mariah aliteuliwa kuwa moja kati ya wasanii wanaowania tuzo za Grammy Awards mara mbili yaani Producer of the Year na Grammy Award for Best Female Pop Vocal Performance. A Albamu hii ya Emotions imefanikiwa kuuza nakala zaidi ya 3,584,000.[1]

Kutunga na Kurekodi

hariri

Kutokana na mafanikio makubwa aliyoyapata kutokana na albamu hii, Mariah sambamba na studio alizokuwa akirekodia nyimbo zake za Sony Music Entertainment ikiongozwa na Tommy Mottola na Don Ienner, ulikuwa ni wakati muafaka kwa wao kuanza kujadili na kupangalia mipangilio ya baadae katika maisha ya kimuziki ya Mariah. Kuanzia hapa, Mariah aliruhusiwa kutengeneza nyimbo na kufanya kaza na mtayarishaji atakayemchagua mwenyewe (suala ambalo hapo awali, hakuwa akiruhusiwa katika takribani albamu tatu). Ndipo alipoanza kufanya kazi na watengenezaji wa muziki kama vile Walter Afanasieff, wa Clivilles & Cole (of C+C Music Factory) na Carole King.

Mapokezi na Matangazo

hariri

Albamu ya Emotions ilipata mapokezi ya wastani, kama vile albamu yake iliyopita. Mariah aliweza kupata malalamiko ya hapa na pale klutokana na yeye kukataa kwenda kufanya matamasha ya albamu yake hiyo. Kashfa kadhaa ziliibuka kama vile Milli Vanilli. Malalamiko yalimshtumu Mariah kuwa yeye ni mwanamuziki anayeweza kuimba na kurekodi katika studio pekee, na si msanii anayeweza kuimba katika matamasha ya moja kwa moja, na kuwa umaahirin wa sauti yake ulikuwa si kitu zaidi ya kutengenezwa kwa kutumia santuri mbalimbali ndani ya studio. Lakini baadae Mariah mwenyewe alikiri kuwa, alikuwa hapendi kufaya maonesho ya moja kwa moja kutokana na kukosa ujasiri wa kuweza kusimama na kuimba mbele za watu, aliongeza kuwa, wasanii wengi huweza kuimba katika maonesho ya moja kwa moja kutokana na kuwa huanza kuimba katika majukwaa kabla ya kupata mikataba ya kurekodi katika studio suala ambalo halikutokea kwake.Lakini pamoja na haya, Mariah aliweza kufaanya onesho la siku ya jumamosi ya NBC, na kuimba nyimbo kama vilr "Can't Let Go" na wimbo mwingine wa "If It's Over.


Albamu hii, imefanikiwa kupata nafasi ya kuchaguliwa kugombea tuzo 1992 za Grammy katika Producer of the Year na Grammy Award for Best Female Pop Vocal Performance lakini hakufanikiwa kupata tuzo hata moja katika vifungo vyote.

Nchini Marekani Albamu ya Emotions iliweza kufika katika nafasi ya 4 katika chati ya Billboard 200 na kufanikiwa kuuza zaidi ya nakala 129,000. Katika hali iliyowashangaza wengi, kufuatia mafanikio ya albamu ya Mariah Carey (albamu), ilifanikiwa kukaa katika nafasi ya kwanza kwa kiasi cha wiki ishirini na saba 27. Albamu hii ya Emotions ilikuwa albamu ya kwanza katika albamu nne za Mariah zilizotangulia kushindwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Billboard 200. na pia ilikuwa ndiyo albamu yake iliyoshika nafasi ya chini zaidi hadi ilipotoka albamu ya Glitter mwaka 2001. Albamu hii ilipata mafanikio ya wastani nchini Canada na Australia, lakini kama ilivyotokea kwa nchini Marekani, haikuweza kupata mauzo mazuri kama ilivotokea kwa albamu ya Mariah Carey (albamu)

Orodha ya Nyimbo

hariri
  1. "Emotions" (Mariah Carey, David Cole, Robert Clivillés) – 4:09
  2. "And You Don't Remember" (Carey, Walter Afanasieff) – 4:26
  3. "Can't Let Go" (Carey, Afanasieff) – 4:27
  4. "Make It Happen" (Carey, Cole, Clivillés) – 5:07
  5. "If It's Over" (Carey, Carole King) – 4:38
  6. "You're So Cold" (Carey, Cole, Clivillés) – 5:05
  7. "So Blessed" (Carey, Afanasieff) – 4:13
  8. "To Be Around You" (Carey, Cole, Clivillés) – 4:37
  9. "Till the End of Time" (Carey, Afanasieff) – 5:35
  10. "The Wind" (Carey, Russell Freeman) – 4:41

Wafanyakazi

hariri

Wanamuziki

hariri
  • Mariah Carey - lead vocals, background vocals
  • David Cole - keyboards, keyboard arrangements, drum programming, background vocals (tracks 1, 4, 6, 8)
  • Robert Clivilles - keyboard arrangements, drums, drum programming (tracks 1, 4, 6)
  • Walter Afanasieff - keyboards, synthesizers, Hammond B3 organ, synthesizer bass, drums, percussion, strings, vibes, instrument arrangements, programming, Synclavier (strings, acoustic guitar, acoustic bass) tambourine, Bosendorfer SE grand piano (tracks 1-3, 5, 7, 9-10)
  • Ren Klyce - Synclavier, Akai programming (track 2-3, 5, 7, 9-10)
  • Gary Cirimelli - Synclavier, MacIntosh programming (track 2-3, 5, 7, 9-10)
  • Paul Pesco - guitars (tracks 1, 4, 6, 8)
  • Michael Landau - guitars (tracks 2-3, 7, 9)
  • Cornell Dupree - guitars (track 5)
  • Vernon "Ice" Black - guitars (track 10)
  • Carl James - bass guitar (track 4)
  • Will Lee - bass guitar (track 5)
  • Earl Gardner - trumpet (track 5)
  • Keith O'Quinn - trombone (track 5)
  • George Young - tenor saxophone (track 5)
  • Larry Feldman - tenor saxophone (track 5)
  • Lewis Delgatto - baritone saxophone, horn arrangements (track 5)
  • Steve Smith - drums (tracks 5, 10)
  • Alan Friedman - programming (YIPE!) (tracks 1, 4, 6, 8)
  • Trey Lorenz - background vocals (tracks 1, 4-5, 8)
  • Patrique McMillan - background vocals (tracks 4-5)
  • Cindy Mizelle - background vocals (tracks 5, 8)
  • Jamillah Muhammed - background vocals (track 6)
  • Deborah Cooper - background vocals (track 8)

Watayarishaji

hariri
  • Acar S. Key - engineer (tracks 1, 4, 6, 8)
  • Bruce Miller - engineer (tracks 1, 6)
  • John Mathias - engineer (track 4)
  • Tony Maserati - engineer (track 8)
  • Dana Jon Chappelle - engineer, mixing (tracks 2-3, 5, 7, 9)
  • Bruce Calder - assistant engineer (tracks 2-3, 5, 7, 9-10)
  • Craig Silvey - assistant engineer (tracks 2-3, 7, 9-10)
  • Manny LaCarrubba - assistnat engineer (tracks 2-3, 7, 9-10)
  • M.T. Silva - assistant engineer (tracks 2-3, 7, 9-10)
  • Lolly Grodner - assistnat engineer (tracks 2-3, 9)
  • Bob Edwards - additional engineering (track 10)
  • Bob Rosa - mix engineer (tracks 1, 4, 6, 8)
  • Mariah Carey - vocal arrangements, arranger
  • David Cole - vocal arrangements, arranger (tracks 1, 4, 6, 8)
  • Walter Afanasieff - vocal arrangements, arranger (tracks 2-3, 5, 7, 9-10)
  • Robert Clivilles - arranger (tracks 1, 4, 6, 8)
  • Bob Ludwig - mastering, Masterdisk, NY
  • Josephine DiDonato - mwongozaji wa picha
  • Phillip Dixon - mpiga picha
  • Tommy Mottola - msimanzi mkuu

Chati na Tuzi

hariri

Chati Ilipata
nafasi
Australian Albums Chart[2] 8
Austrian Albums Chart[3] 39
Canadian Albums Chart[4] 5
Dutch Albums Chart[5] 7
Finnish Albums Chart[6] 16
French Albums Chart[7] 38
German Albums Chart[8] 46
Italian Albums Chart[9] 16
Japanese Albums Chart[10] 3
New Zealand Albums Chart[11] 6
Norwegian Albums Chart[12] 8
Spanish Albums Chart[13] 38
Swedish Albums Chart[14] 13
Swiss Albums Chart[15] 15
UK Albums Chart[16] 4
U.S. Billboard 200[17] 4

Mapokeo

hariri
Country (Provider) Certification
(sales thresholds)
Australia (ARIA) Platinum[18]
Canada (CRIA) 4x Platinum[19]
France (SNEP) Gold[20]
Italy (FIMI) Gold[21]
Japan (RIAJ) Million[22]
Netherlands (NVPI) Platinum[23]
New Zealand (RIANZ) Platinum[24]
Singapore (RIAS) 3x Platinum[25]
South Korea (Hanteo) 3x Platinum[26]
Sweden (IFPI) Platinum[27]
Switzerland (IFPI) Gold[28]
United Kingdom (BPI) Platinum[29]
United States (RIAA) 4x Multi-Platinum[30]

Marejeo

hariri
  1. [1]
  2. Australian Albums Chart
  3. Austrian Albums Chart
  4. Canadian Albums Chart
  5. Dutch Albums Chart
  6. "Finnish Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-03. Iliwekwa mnamo 2010-05-02.
  7. French Albums Chart
  8. "German Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-16. Iliwekwa mnamo 2010-05-02.
  9. "Italian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2010-05-02.
  10. Oricon Albums Chart
  11. "New Zealand Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2010-05-02. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url= ignored (help)
  12. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-02.
  13. Spanish Albums Chart
  14. Swedish Albums Chart
  15. Swiss Albums Chart
  16. UK Albums Chart
  17. "U.S. Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-04. Iliwekwa mnamo 2010-05-02.
  18. ARIA
  19. "CRIA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2010-05-02.
  20. SNEP
  21. FIMI
  22. RIAJ
  23. "NVPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2010-05-02.
  24. "RIANZ". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-05-02.
  25. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/singapore/index.shtml
  26. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/southkorea/index.shtml
  27. "IFPI Sweden". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-17. Iliwekwa mnamo 2010-05-02.
  28. IFPI Switzerland
  29. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2010-05-02. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url= ignored (help)
  30. Riaa.com