Music Box ni albamu ya nne, na albamu ya tatu ya studio kutoka kwa mwanamuziki wa nchini Marekani anayeimba miondoko ya R&B, Mariah Carey. Albamu hii ilitolewa na kupitia studio za Columbia records tarehe 31 Agosti 1993, katika Amerika ya kusini. Albamu hii inajumuisha mashairi yaliyotungwa na Mariah mwenyewe lakini akishirikiana na Walter Afanasieff ambaye amewahi kufanya nae kazi hapo awali katika albamu ya Emotions (albamu) mwaka 1991. Katika albamu hii, Mariah ameweza kushirikiana na waimbaji wengine mashuhuri kama vile Babyface na Robert Clivillés, David Cole

Music Box
Music Box Cover
Studio album ya Mariah Carey
Imetolewa 17 Agosti 1993 (UK)
31 Agosti 1993 (U.S.)
Imerekodiwa Agosti 1992—Mei 1993 at Right Track Studios, Sony Studios, Axis Studios, Electric Lady Studios, House of Sound Studios (NY), The Plant Studios (Sausalito, CA), The Record Plant (Los Angeles, CA), & Criteria Recording Studios (Miami, FL)
Aina Pop, R&B, Adult Contemporary
Urefu 41:58 (North American edition)
47:25 (international edition)
46:19 (Latin American edition)
Lebo Columbia
CK-53205
Mtayarishaji Mariah Carey, Dave Hall, Walter Afanasieff, David Cole, Robert Clivillés, Babyface, & Daryl Simmons
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Mariah Carey
Emotions
(1991)
Music Box
(1993)
Merry Christmas
(1994)

Single inayoongoza katika albamu hii, inayojulikana kama vile Dreamlover, wimbo huu ulikuwa wimbo uliopata mafanikio zaidi wakati wa kutolewa, ulifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika shati ya muziki ya Marekani, na halikadhalika katika chati ya single ya nchini Kanada. Wimbo wa Without You ulikuwa wimbo wa kwanza kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza na nchini nyinhine kadhaa katika bara la Ulaya. Mariah aliteuliwa kugombea tuzo za "Best Female Pop Vocal Performance" katika wimbo wa "Dreamlover" katika Grammy Awards of 1994 lakini alishindwa kupata tuzo hiyo, na badala yake ilichukuliwa na Whitney Houston; baadae alipata nafasi ya kugombea tena nafasi hiyo kupitia wimbo wake wa "Hero" katika tuzo ya Grammy Awards of 1995 lakini kwa mara nyingine tena hakuweza kupata tuzo hiyo.

Lakini pamoja na yote hayoAlbamu ya Music Box inabaki kuwa moja kati ya albamu zilizowahi kufanya vizuri zaidi katika mauzo, kwa kufanikiwa kuuza zaidi ya nakala milioni 28.

Mapokezi

hariri

Music Box iliingia katika chati ya muziki ya Marekani Billboard 200 na kufikia katika nafasi ya pili, kutokana na kupata mafanikio makubwa katika mauzo kiasi cha kuuza nakala 174,000, ilifanikiwa kufika kaatika nafasi ya kwanza baada ya wiki sita tangu itolewe. Albamu hii ilipata mafanikio zaidi kwa upandwe wa mauzo kaatika wiki ya 15, ambapo hapo ilipata kuuza nakala takribani 505,000. Ilifanikiwa kukaa katika nafasi kwanza kwa jumla ya wiki nane zisizo za mfululizo. Ilikaa katika albamu kumi bora kwa kwa kipindi cha week thelathini na katika chati ya Billboard kwa wiki 128, ( hii ikiwa ni zaidi ya miaka miwili, hali ambayo hakuwahi kutokea katika albamu zake zilizopita. Mwaka 1994, albamu hii ilishika nafasi ya pili katika albamu iliyoongoza kwa mauzo nchini Marekani.

Orodha ya Nyimbo

hariri
  1. "Dreamlover" (Mariah Carey, Dave Hall) – 3:54
  2. "Hero" (Carey, Walter Afanasieff) – 4:19
  3. "Anytime You Need a Friend" (Carey, Afanasieff) – 4:26
  4. "Music Box" (Carey, Afanasieff) – 4:57
  5. "Now That I Know" (Carey, David Cole, Robert Clivillés) – 4:19
  6. "Never Forget You" (Carey, Babyface, Daryl Simmons) – 3:46
  7. "Without You" (Peter Ham, Tom Evans) – 3:36
  8. "Just to Hold You Once Again" (Carey, Afanasieff) – 3:59
  9. "I've Been Thinking About You" (Carey, Cole, Clivillés) – 4:48
  10. "All I've Ever Wanted" (Carey, Afanasieff) – 3:51

International edition
11. "Everything Fades Away" (Carey, Afanasieff) – 5:25

Latin American edition
11. "Héroe" (Carey, Afanasieff) – 4:19

Wafanyakazi

hariri

Wanamuziki

hariri
  • Mariah Carey - lead vocals, background vocals
  • Walter Afanazieff - keyboards, additional keyboards, synthesizers, rhythm programming, Hammond B3 organ, bass, Synclavier acoustic guitar (tracks 1-4, 7-8, 10)
  • Dave Hall - synthesizers, keyboards, rhythm programming (track 1)
  • David Cole - keyboards (tracks 5, 9)
  • Babyface - keyboards, percussion, background vocals (track 6)
  • Ren Klyce - Akai and Roland programming (tracks 1-4, 7-8, 10)
  • Gary Cirimelli - MacIntosh and synthesizer programming (tracks 1-4, 7-8, 10)
  • Ricky Crespo - programming (tracks 5, 9)
  • Shawn Lucas - programming (tracks 5, 9)
  • James T. Alfano - programming (tracks 5, 9)
  • Michael Landau - guitars (tracks 2-4, 8)
  • Kayo - bass (track 6)
  • Robert Clivilles - drums, percussion (tracks 5, 9)
  • Mark C. Rooney - background vocals (tracks 3-4)
  • Cindy Mizelle - background vocals (track 3)
  • Melonie Daniels - background vocals (track 3, 5, 7-9)
  • Kelly Price - background vocals (track 3, 5, 7-9)
  • Shanrae Price - background vocals (track 3, 5, 7-9)

Watayarishaji

hariri
  • Mariah Carey - arranger
  • Dave Hall - arranger (track 1)
  • Walter Afanasieff - arranger (tracks 2-4, 7-8, 10)
  • Robert Clivilles - arrager (tracks 6, 9)
  • David Cole - arranger (tracks 6, 9)
  • Babyface - arranger (track 6)
  • Daryl Simmons - (track 6)
  • Bob Rosa - engineer, mix engineer (track 1, 5, 9)
  • David Gleeson - engineer (track 2)
  • Dana Jon Chappelle - engineer, vocal engineering
  • Acar Key - engineer (tracks 5, 9)
  • Frank Filipetti - engineer (tracks 5, 9)
  • Jim Zumpano - engineer (track 6)
  • Jim Caruana - 2nd engineer
  • Jen Monnar - 2nd engineer (tracks 2-3, 8, 10)
  • Manny LaCarrubba - 2nd engineer, additional engineering (tracks 2, 4, 7)
  • Kyle Bess - 2nd engineer (tracks 2-4, 8)
  • Kent Matcke - 2nd engineer (track 7)
  • Mark Krieg - 2nd engineer (track 9)
  • Kirk Yano - additional tracking engineer (tracks 1)
  • Mick Guzauski - mixing (tracks 1-4, 6-10)
  • Bob Ludwig - mastering, Gateway Master Studios Portland, ME

Chati na Tuzi

hariri

Chati Ilipata
nafasi
Australian Albums Chart[1] 1
Austrian Albums Chart[2] 1
Belgian Wallonia Albums Chart[3] 34
Brazilian Albums Chart[4] 1
Canadian Albums Chart[5] 5
Dutch Albums Chart[6] 1
Finnish Albums Chart[7]
French Albums Chart[8] 1
German Albums Chart[9] 1
Hong Kong Albums Chart[10] 1
Hungarian Albums Chart[11] 4
Italian Albums Chart[12] 2
Japanese Albums Chart[13] 2
Mexican Albums Chart[14]
New Zealand Albums Chart[15] 2
Norwegian Albums Chart[16] 2
Polish Albums Chart[17] 1
Singapore Albums Chart[18] 1
South Korea Albums Chart[19] 1
Spanish Albums Chart[20] 2
Swedish Albums Chart[21] 3
Swiss Albums Chart[22] 1
Taiwan Albums Chart[23] 1
UK Albums Chart[24] 1
U.S. Billboard 200[25] 1

Country (Provider) Certification
(sales thresholds)
Australia (ARIA) 11x Platinum[26]
Austria (IFPI) 2x Platinum[27]
Belgium (IFPI) 2x Platinum[28]
Brazil (ABPD) Gold[29]
Canada (CRIA) 7x Platinum[30]
Finland (IFPI) Gold[31]
France (SNEP) Diamond[32]
Germany (IFPI) 2x Platinum[33]
Hong Kong (FIMI) 5x Platinum[34]
Italy (FIMI) 5x Platinum[35]
Japan (RIAJ) Million[36]
Mexico (AMPROFON) Platinum[37]
Netherlands (NVPI) Gold[38]
New Zealand (RIANZ) 5x Platinum[39]
Norway (IFPI) Platinum[40]
Poland (ZPAV) Platinum[41]
Singapore (RIAS) 8x Platinum[42]
South Korea (Hanteo) 10x Platinum[43]
Spain (PROMUSICAE) 4x Platinum[44]
Sweden (IFPI) Platinum[45]
Switzerland (IFPI) 4x Platinum[46]
Taiwan (BPI) 10x Platinum[47]
United Kingdom (BPI) 5x Platinum[48]
United States (RIAA) Diamond[49]

  • Most certifications are from old criterion (Sales may be higher than the certification level says now).

Marejeo

hariri
  1. Australian Albums Chart
  2. Austrian Albums Chart
  3. Wallonia Albums Chart
  4. "ABPD". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-19. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  5. Canadian Albums Chart
  6. Dutch Albums Chart
  7. Finnish Albums Chart
  8. French Albums Chart
  9. "German Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-16. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  10. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-01-02. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  11. "Hungarian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-08. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  12. "Italian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  13. Oricon Albums Chart
  14. Oricon Albums Chart
  15. "New Zealand Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2010-05-03. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url= ignored (help)
  16. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  17. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  18. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  19. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  20. Spanish Albums Chart
  21. Swedish Albums Chart
  22. Swiss Albums Chart
  23. "Norwegian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  24. UK Albums Chart
  25. "U.S. Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-04. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  26. ARIA
  27. IFPI Austria
  28. IFPI Belgium
  29. "ABPD". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-19. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  30. "CRIA". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  31. "IFPI Finland". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-24. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  32. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-11-20. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  33. IFPI Germany
  34. IFPI Germany
  35. FIMI
  36. RIAJ
  37. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-01-06. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  38. "NVPI". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  39. "RIANZ". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  40. "IFPI Norway". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  41. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/poland/index.shtml
  42. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/singapore/index.shtml
  43. http://www.mariahjournal.com/infozone/charts/albums/southkorea/index.shtml
  44. PROMUSICAE
  45. "IFPI Sweden". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-17. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  46. IFPI Switzerland
  47. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-06-20. Iliwekwa mnamo 2010-05-03.
  48. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2010-05-03. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url= ignored (help)
  49. http://www.riaa.com/goldandplatinumdata.php?table=SEARCH