En'yu wa Japani
(Elekezwa kutoka En'yu)
En'yu (12 Aprili, 959 – 1 Machi, 991) alikuwa mfalme mkuu wa 64 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Morihira, na alikuwa mwana wa tano wa Tenno Murakami. Mwaka wa 969 alimfuata kaka yake, Tenno Reizei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 984. Aliyemfuata kama Tenno ni mpwa wake, Kazan.
Angalia pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu En'yu wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |