Reizei wa Japani
(Elekezwa kutoka Reizei)
Reizei (12 Juni, 950 – 21 Novemba, 1011) alikuwa mfalme mkuu wa 63 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Norihira, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Murakami. Mwaka wa 967 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 969. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, En'yu.
Angalia pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Reizei wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |