Eneo la Hifadhi ya Ankasa

Hifadhi iliyopo nchini Ghana

Eneo la Hifadhi ya Ankasa ni eneo lililo kusini magharibi mwa Ghana, katika mkoa wa Magharibi wa Ghana, kama kilomita 365 magharibi mwa Accra karibu na mpaka na Côte d'Ivoire . [1] Inajumuisha Mbuga ya Taifa ya Nini Suhien [2] Kaskazini, na Hifadhi ya Misitu ya Ankasa Kusini. [3]

Muonekano wa angani wa Msitu wa Ankasa
Msitu wa Ankasa


Marejeo hariri

  1. "Ivory Coast", Wikipedia (in English), 2019-05-21, retrieved 2019-05-25 
  2. Nini Suhien National Park and Ankasa Resources Reserve, Ghana. www.fcghana.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-07-01. Iliwekwa mnamo 2019-05-25.
  3. Ghana Wildlife Society:ANKASA NATIONAL PARK (Accessed June 2014). Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-09-11. Iliwekwa mnamo 2014-06-25.