Enock Sabumukama (alizaliwa 4 Septemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Burundi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya ZESCO United iliyopo nchini Zambia na timu ya taifa ya Burundi.

Kazii ya kimataifa hariri

Alichaguliwa katika kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya burundi katika Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enock Sabumukama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.