Enrico Dante (alizaliwa 5 Julai 188424 Aprili 1967) alikuwa kardinali wa Kiitaliano wa Kanisa Katoliki la Roma. Alihudumu kama Msimamizi Mkuu wa Sherehe za Kipapa kuanzia mwaka 1947 hadi kifo chake, na aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1965.[1]

Enrico-Dante.jpg

Uso wake ulijulikana sana kwa kuwa alihudumu kwa karibu miongo miwili, akiwasaidia mapapa katika Misa zao na sherehe nyinginezo.

Marejeo

hariri
  1. http://www2.fiu.edu/~mirandas/bios-d.htm#Dante
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.