Enrico Perucconi (4 Januari 1925 - 14 Julai 2020) alikuwa mwanariadha wa Italia ambaye alishiriki mbio za mita 100.

Alizaliwa huko Morazzone, Varese, Italia.[1]

Marejeo

hariri
  1. Kigezo:Cite sports-reference
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enrico Perucconi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.