14 Julai
tarehe
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Julai ni siku ya 195 ya mwaka (ya 196 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 170.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 926 - Murakami, mfalme mkuu wa Japani (946-967)
- 1777 - Tanomura Chikuden, mchoraji kutoka Japani
- 1904 - Isaac Bashevis Singer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1978
- 1913 - Gerald Ford, Rais wa Marekani (1974-1977)
- 1918 - Ingmar Bergman, mwongozaji wa filamu kutoka Uswidi
- 1921 - Geoffrey Wilkinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 1935 - Ei-ichi Negishi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2010
- 1960 - Angelique Kidjo, mwanamuziki kutoka Benin
Waliofariki
hariri- 1610 - Mtakatifu Fransisko Solano, O.F.M., padri kutoka Hispania na mmisionari huko Amerika ya Kilatini
- 1614 - Mtakatifu Kamili wa Lellis, padri na mwanzilishi kutoka Italia
- 1954 - Jacinto Benavente, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1922
- 1978 - Margaret Widdemer, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kamili wa Lellis, Optasiani, Visenti Madelgari, Machelmo, Toskana, Fransisko Solano, Yohane Wang Guixin n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |