Punda
(Elekezwa kutoka Equus kiang)
Punda | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Punda-kaya katika Hifadhi ya Taifa ya Amboseli
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 3, nususpishi 12:
|
Punda ni wanyama wakubwa kiasi wa nusujenasi Asinus ya jenasi Equus katika familia Equidae wafananao na farasi mdogo. Spishi moja (Equus kiang), ambayo inatokea Asia, huitwa kiang'. Punda anayejulikana sana ni yule anayefugwa (Punda-kaya), lakini kuna punda porini pia. Watu huwatumia punda wafugwao kwa kubeba mizigo, kuvuta magari au kuwarakibu. Punda wanaweza kuzaliana na farasi lakini watoto wao (baghala au nyumbu) hawazai tena kwa kawaida.
Spishi
hariri- Equus africanus, Punda wa Afrika (African Wild Ass)[1][2]
- Equus a. africanus, Punda Nubi (Nubian Wild Ass)
- †Equus a. atlanticus, Punda Kaskazi Atlas Wild Ass – imekwisha sasa
- Equus a. somalicus, Punda Somali Somali Wild Ass)
- Equus asinus, Punda-kaya (Donkey)
- Equus hemionus, Punda wa Asia (Onager au Asiatic Ass)
- Equus h. hemionus, Punda wa Mongolia (Mongolian Wild Ass, Khulan au Kulan)
- †Equus h. hemippus, Punda wa Syria (Syrian Wild Ass) – imekwisha sasa
- Equus h. khur, Punda wa Uhindi (Indian Wild Ass au Khur)
- Equus h. kulan, Punda wa Turkmenistan (Turkmenian Kulan)[3]
- Equus h. onager, Punda wa Uajemi (Persian onager)
- Equus kiang, Kiang' (Kiang)
- Equus k. chu, Kiang' Kaskazi (Northern Kiang)
- Equus k. holdereri, Kiang' Mashariki (Eastern Kiang)
- Equus k. kiang, Kiang' Magharibi (Western Kiang)
- Equus k. polyodon, Kiang' Kusi (Southern Kiang)
Spishi za kabla ya historia
hariri- †Equus calobatus, Punda Miguu-mirefu (Stilt-legged Onager)
- †Equus cumminsii, Punda wa Cummin (Cummin’s Ass)
- †Equus francisci au Equus tau, Punda Kibete (Pygmy Onager)
- †Equus hydruntinus, Punda wa Ulaya (European Ass)
- †Equus lambei, Punda wa Yukon (Yukon Wild Ass)
Picha
hariri-
Punda Nubi
-
Punda Somali
-
Punda wa Mongolia
-
Punda wa Uhindi
-
Punda wa Turkmenistan
-
Punda wa Uajemi
-
Kiang' mashariki
Marejeo
hariri- ↑ Don E. Wilson & DeeAnn M. Reeder, mhr. (2005). "Equus asinus". Mammal Species of the World. A Taxonomic and Geographic Reference (tol. la 3rd). Johns Hopkins University Press. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-08. Iliwekwa mnamo 2014-10-24.
{{cite book}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ International Commission on Zoological Nomenclature (2003). "Usage of 17 specific names based on wild species which are pre-dated by or contemporary with those based on domestic animals (Lepidoptera, Osteichthyes, Mammalia): conserved. Opinion 2027 (Case 3010)" (Summary). Bull.Zool.Nomencl. 60 (1): 81–84.
- ↑ "Factsheet Kulan at Large Herbivore Network". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-08. Iliwekwa mnamo 2014-10-24.
{{cite book}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Punda kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |