Era Bell Thompson
Mwandishi wa habari wa Marekani (1905-1986)
Era Bell Thompson (Des Moines, Iowa, Agosti 10, 1905 - Desemba 30, 1986) alikuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha North Dakota (UND) na mhariri wa jarida la Ebony. Alikuwa pia mpokeaji wa gavana wa Dakota ya Kaskazini. Kituo cha tamaduni nyingi cha UND kilipewa jina lake[1].
Era Bell Thompson | |
Amezaliwa | Era Bell Thompson Agosti 10, 1905 Des Moines, Iowa |
---|---|
Amekufa | Disemba 30, 1986 Chicago, Illinois |
Kazi yake | Muhariri na muandishi |
Marejeo
hariri- ↑ Cromwell, Adelaide M.; Adélaïde Cromwell Hill; Martin Kilson (1969). Apropos of Africa: sentiments of Negro American leaders on Africa from the 1800s to the 1950s. Routledge. uk. 272. ISBN 0-7146-1757-1. Includes brief bio and a selection from Africa.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Era Bell Thompson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |