30 Desemba

tarehe
(Elekezwa kutoka Desemba 30)
Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 30 Desemba ni siku ya 364 ya mwaka (ya 365 katika miaka mirefu). Mpaka uishe inabaki siku 1.

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Felix I, Hermes wa Vidin, Anisi wa Thesalonike, Perpetui wa Tours, Jokondo wa Aosta, Jeremari wa Fly, Egwini wa Evesham, Ranieri wa Forcona, Rojeri wa Canne, Laurenti wa Frazzanò n.k.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 30 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.