Erick Evarist

Mwandishi kutoka Tanzania

Erick Evarist ni mwandishi wa habari, mhakiki, na mhariri wa nchini Tanzania, ambaye ni muongoza vipindi wa kituo cha habari cha Global TV Online na magazeti, machapisho ya kila siku ya Kiswahili. [1] [2] [3]

Hapo awali alikuwa na shughuli za mpiga picha katika matukio mbalimbali, aliachana na kazi hiyo na sasa anahudumu kama mwandishi anayeendelea kutoa machapisho katika tasnia ya habari. Anafanya kazi kama mhariri wa magazeti yanayo chapishwa, Risasi, Ijumaa na Amani yote chini ya kampuni ya Global Publishers. [4] [5] [6]

Marejeo

hariri
  1. "MKUU WA SHULE MWENYEHERI ANUARITE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS". Global Publishers. 1 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2023.
  2. Shomari, Sunday (13 Oktoba 2014). "ZIARA YA GLOBAL PUBLISHERS". Iliwekwa mnamo 30 Juni 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. [ https://www.instagram.com/p/B94NZMkiCgt/ Mhariri wa Gazeti la Risasi, Erick Evarist (kushoto) akimkabidhi Gazeti la Risasa Mchanganyiko Maalim Seif alipofika kuzungumza na wahariri wa Kampuni ya Global Publishers katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam leo Machi 18, 2020.] 18 Machi 2018
  4. "Uzinduzi wa Saccos ya Wauza Magazeti nchini Tanzania". globalpublishers.co.tz.
  5. "Wanawake Wazuri Hawaoleki?". Tanzania Web. 22 Juni 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-30. Iliwekwa mnamo 30 Juni 2023. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  6. "Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam atembelea Global Publishers", 2 December 2016. 
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erick Evarist kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.