Erik Axel Karlfeldt
Erik Axel Karlfeldt (20 Julai 1864 – 8 Aprili 1931) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Sweden. Hasa aliandika mashairi juu ya maisha ya nchi yake. Mwaka wa 1931 aliteuliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Aliteuliwa baada ya kufa tu; alikuwa ameikataa mwaka wa 1918.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Erik Axel Karlfeldt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |