20 Julai

tarehe
Jun - Julai - Ago
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 20 Julai ni siku ya 201 ya mwaka (ya 202 katika miaka mirefu). Mpaka mwaka uishe zinabaki siku 164.

SikukuuEdit

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Apolinari wa Ravenna, Elia, Yosefu Barsaba, Marina wa Antiokia, Frumensyo, Aurelius wa Karthago, Vulmari, Paulo wa Cordoba, Magdalena Yi Yong-hui na wenzake, Yosefu Maria Díaz Sanjurjo, Leo Ignas Mangin, Paulo Denn, Petro Zhou Rixin, Maria Fu Guilin, Maria Zhao Guozhi, Roza Zhao, Maria Zhao, Xi Guizi n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 20 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.