Erzurum (Kiarmenia: Կարին Karin) ni mji uliopo mashariki mwa Anatolia, Uturuki. Jina la "Erzurum" linatokana na Kiarabu, yaani, "Arz-u Rûm" (maana yake Nchi ya Waroma[1]).

Mji wa Erzurum

Mji wa Erzurum, una wakazi wapatao 361,235 (kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000). Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Erzurum, ambao ni jiji kubwa katika Mkoa Mashariki wa Uturuki ya Anatolia. Mji upo katika mita 1757 (futi 5766) kutoka juu ya usawa wa bahari na mji wenye hali ya baridi sana.

HistoriaEdit

MarejeoEdit

  1. Erzurum, tovuti ya Lexicorient

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Erzurum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.