Ester Amos Bulaya

Mwanasiasa wa Tanzania

Ester Amos Bulaya (amezaliwa tarehe 3 Machi 1980) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Bunda kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017