Esther Lukago Midimu

mwanasiasa kutoka Tanzania

Esther Lukago Midimu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Archived 25 Januari 2020 at the Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017