Eugénie Musayidire
Mwanaharakati na mwandishi wa haki za binadamu wa Rwanda
Eugénie Musayidire (1952) ni mwanaharakati na mwandishi wa haki za binadamu ambaye alizaliwa nchini Rwanda.Musayidire ni mtu wa kabila la mtutsi, aliondoka nchini mwaka Rwanda 1973 baada ya kutishiwa na wahutu wenye msimamo mkali, akihamia kwanza Burundi na baadaye Ujerumani kama mkimbizi wa kisiasa.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "Pressegespräche der Reformgruppen 28. und 30.5.2014 / Media Advice" (kwa German). Wir sind Kirche. 2014. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Eugénie Musayidire". Human Rights Office, City of Nuremberg. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Eugenie Musayidire kämpft für Kinder in Ruanda" (kwa German). Was ist Was. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-15. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eugénie Musayidire kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |