Eugene O'Neill
Eugene Gladstone O'Neill (16 Oktoba 1888 – 27 Novemba 1953) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika tamthiliya. Mwaka wa 1936 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Pia, kati ya 1920 na 1957, alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mara nne.
Eugene O'Neill | |
Amezaliwa | Eugene Gladstone O'Neill 16 Oktoba 1888 New York, Marekani |
---|---|
Amekufa | 27 Novemba 1953 Boston, Marekani |
Kazi yake | Mwandishi |
Ndoa | Kathleen Jenkins (1909–12) Agnes Boulton (1918–29) Carlotta Monterey (1929–53) |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eugene O'Neill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |