Eusizi (kwa Kifaransa: Eusice; alifariki Selles-sur-Cher, 542 hivi) alikuwa mkaapweke katika chumba kidogo kwenye mto Cher, leo nchini Ufaransa[1].

Gregori wa Tours aliandika habari zake.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Novemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.